Monthly Archives: Agosti 2016

Ufafanuzi: Mahakama ys Usuluhishi ya Kimataifa ICC yaiamrisha Jamhuri ya Cyprus Kuwaruhusu Wamiliki na Wakurugenzi wa FBME Kuingia Ofisini

Agosti 7, 2016

Kwa maamuzi yote mawili ya tarehe 27 Mei na Julai 26, 2016, yaliyofikiwa na mahakama ya usuluhushi ya ICC ya kupinga Mabwana Ayoub Farid Michel Saab na Fadi Saab, wamiliki wa FBME, dhidi ya Jamhuri ya Cyprus, yaliamua kwamba wadai watapata nafasi ya kuingia kwenye majengo ya Tawi wakati wa masaa ya kawaida ya kazi. Kauli mbalimbali za umma hivi karibuni zilikuwa zinatolewa na mamlaka za Cyprus kuhusiana na maamuzi haya. Kauli hizi zinaweza kutafsiriwa kuwa ni za kupotosha.

Continue reading

ICC Yaiagiza CBC Kuwaruhusu Wamiliki na Wakurugenzi wa FBME Kurudi Mjengoni

1 Agosti 2016

Jopo la usuhishi la Mahakama ya Kimataifa ya Biashara (ICC) mjini Paris limeiagiza Jamhuri ya Cyprus kuwaruhusu wanahisa na wakurugenzi wa Benki ya FBME kuingia kwenye majengo ya FBME nchini Cyprus. Waliondolewa Machi 31 2016 wakati Benki Kuu ya Cyprus (CBC) ilipowafukuza wafanyakazi 140 9 wafanyakazi katika Cyprus.

Continue reading