Ujumbe wa Shukrani kwa Wafanyakazi

Agosti 27, 2014

Mmiliki mwenza wa FBME Limited, Fadi M Saab, alituma barua kwa wafanyakazi wa FBME Benki kwa niaba ya mwenyewe na mmiliki mwenza Ayoub-Farid M Saab. Barua hiyo iliwashukuru wafanyakazi kwa uaminifu wao na kuonyesha uelewa katika wakati huu mgumu.

Barua iliendelea kueleza mkakati uliogawanyika makundi manne uliobuniwa ili kutatua matatizo ambayo kwa sasa yanaikabili benki: kushughulikia matatizo ya mamlaka ya Marekani kwa njia ya uchunguzi; kuchukua hatua za kisheria za kupambana na vitendo vya Benki Kuu ya Cyprus; kushawishi ili shughuli za miamala zirudishwe, na mipango ya baadaye ya benki.

Kuona hiyo barua, bonyeza hapa