Desemba 31, 2014
Wamiliki wa FBME Limited wanatuma salaam za heri za mwaka 2015 kwa wafanyakazi, wateja, wafuasi, marafiki, wachambuzi na wale wote ambao wameisaidia FBME katika mapambano yake dhidi ya udhalimu, uzembe, udanganyifu na vitendo vingi vya mashaka.
Ni matumaini yetu kuwa Mwaka Mpya utaleta habari njema zaid!