Monthly Archives: Oktoba 2014

Mahakama yaahirisha Kusikiliza Kesi ya Uuzaji

Septemba 16 2014

 Mahakama ya Wilayaya Nicosia jana iliahirisha kesi ambayo iliwasilishwa na wamiliki wa FBME ya kusimamisha uuzaji wa Benki kwa sababu faili la kesi hiyo liliwasilishwa mahakamani wakati huo. Ilifahamika pia kwamba serikali ya Cypus ambayo ni mshitakiwa kwenye kesi hii, walishindwa kuwasilisha utetezi wao kwenye muda ulipangwa. Masuala ya utaratibu yalizingatiwa na Mahakama imelipanga shauri hili kufanyika tarehe 29 Octoba, 2014. Benki kuu imerejea ahadi yake ya kutotekeleza Azimio lolote aukuingia mkataba wowote kuhusiana na uuzaji wa tawi la Benki hadi hapo hukumu ya shauri hili itakapotolewa.

Tunaomba msamaha kwa kutoonekana kwa Tovuti

Septemba 6, 2014

Waandishi wa tovuti hii kutoka FBME Limited wanachukua nafasi hii kuomba msamaha kwa kukosekana kwa tovuti wakati wa mchana na jioni ya tarehe 5 Septemba na tarehe 6. Tunaambiwa kwamba hii ni kutokana na kuwa tovuti hii kuwa ni sehemu ya  mashambulizi kutoka kwa ‘nchi nyingine ya Ulaya’. Inaonekana kwamba tumegusa mshipa wa fahamu mahali fulani; ukweli mara nyingi hufanya hivyo.

Continue reading

Nini hasa kilichotokea kwenye Kitengo cha Huduma za kadi cha FBME

Septemba 9, 2014

Ukweli wa msingi uliosababisha kusimamishwa kwa shughuli kwenye kitengo cha Kadi unajulikana vizuri: Kabla ya saa 5 usiku wa tarehe 21 Julai 2014, Benki Kuu ya Cyprus ikitolea mfano tangazo la FinCEN la Julai 17, walitekeleza Azimio la amri dhidi ya tawi la FBME Cyprus. Hii ilisababisha kupiga marufuku maramoja shughuli zote za FBME Cyprus ambayo ilidumu hadi tarehe 2 Septemba, hatua ambayo iliinyonga Idara ya huduma za Kadi ya FBME

Continue reading

Kufungwa Benki

Julai 28, 2014

Benki Kuu ya Cyprus kama Mamlaka ya FBME Benki Azimio imetangaza katika tovuti yake kuwa kusimamishwa kwa shughuli za Cyprus Tawi la FBME Benki Limited, ambayo ni pamoja maagizo ya wateja kwa ajili ya uhamisho na malipo mengine, ni kuruhusiwa tokea Ijumaa Julai 25 hadi Jumatatu Julai 28 2014.  Kusimamaishwa huku ni kutoka saa sita mchana tarehe 23 Julai.

Continue reading

FBME Benki – Inatambulika kwa Ubora wa Shughuli

Mwaka 2013, FBME Benki ilishinda kwa mfululizo kwa mara ya nane STP Excellence tuzo kutoka Deutsche Benki kwa ajili ya “ubora wa ujumbe wake katika malipo” katika kumbukumbu ya yale yanayojulikana kama shughuli ya malipo ya moja kwa moja-kwa kwa ajili ya Euro na dolla ya kimarekani. STP inaruhusu  mchakato kwa ajili ya biashara kwa soko la mitaji na shughuli malipo kufanywa umeme, wakati ikiwa chini ya udhibiti wa kisheria.

Continue reading