Shukran zatolewa kwa uvumilivu

Oktoba 27, 2014

Wanahisa wa Benki ya FBME Limited wanatoa shukran zao za dhati kwa wateja, wazabuni, wafanyakazi na wafanyabiashara wenzao kwa uvumilivu na uelewa wa hali hii iliokumba benki. Hii miezi mitatu ilivyopita na ufungwaji wa tawi la Cyprus kama ilivyo amriwa na Benki Kuu ya Cyprus. Miezi hii imekuwa migumu na imeleta madhara kwa wote.

FBME Limited itawakumbuka marafiki zake mara tu kipindi hiki kitakapoisha, ni matumaini yetu kuwa hali hii itabadilika hivi karibuni, na kabla Benki kuu ya Cyprus haijaleta madhara mengine.