Namna Pekee ya Kuendesha Benki!!

Oktoba 13, 2014

DinosChristofides, Msimamizi wa tawi la FBME Cyprus, aliyeteuliwa naBenki Kuu ya Cypruschini yaAzimiolaAmri, hatakuwepo ofisini tangu Oktoba 13 hadi 20mwaka 2014,na ameacha maelekezo ya kwambahakunahundi itakayotolewakwa kipindi hiki.Kwa maneno mengine, hakuteua naibukufanyakaziyakebinafsi ya kuidhinishakila malipo.Takribani, huduma yake isiyokuwa ya kawaidaitaanzatarehe 20 Oktoba.

Inaonekana nimuda mrefu umepita na pia ni kama kitendo hiki kilitokea katika sehemu tofauti kabisa, lakini wakati alipoteuliwaJulai 22, 2014alisemalengo lakelilikuwa ni kulindamaslahi yawatejawote.Kutokana na kwambawatejahawakuwezakupatapesa zao wakati wotekabla yaSeptemba 2, na kwamba tangu tarehe hiyo wanaweza kufanya hivyotukwa kufika kwenyetawi na kuchukuahundi yaEUR 10,000, ambayo inaweza kupokelewa na benki moja tu ya Cyprus, nivigumu kwa wateja kukubaliana na mawazo kwamba maslahi yaoyamelindwa.Wengiwametuambia kuwakinachotokea ni kwamba Msimamizihukalia mikono yake namara nyingineanaamuakutoidhinishamalipo.Kwa msingi gani?Kwa anavyojisikia? Kwa anavyoamka?

Hasemi. Tunadhanianahisikuwajibika kwa Benki Kuu ya Cyprus pekee namamlaka ya azimio– na wapo kimya wakati wote.Hakikani wakati muafaka kwaChrystallaGeorghadji, Gavana wa Benki Kuu yaCyprus,kuwajibuwakosoaji wakewengijuu yamasuala mengine muhimu yeye anayokabiliwa nayo.

Hili si jambo dogo.Kwa wateja binafsi,makampunina wafanyakazi wao, wateja na wafanyakazi, inakadiriwa kuwawatu80,000wameathirika naAzimiodhidi yaFBME tawi la Cyprusnatabia ya Msimamizi ambaye hana hata hekima ya kuteuanaibuanapokwendalikizo!

————————————————————————————————————

Ilani muhimu: FBME inachukua fursa hii kuwahakikishia wateja wake wote kuwa Benki bado ina amana ya kutosha kuweza kuwalipa wateja wote.