Oktoba 29, 2014
Usuluhishi baina wanahisa wa FBME na Jamhuri ya Cyprus sasa unaweza kuendelea katika katika Mahakama ya Kimataifa ya Biashara (ICC) mjini Paris baada ya FBME kukamilisja kuwasilisha kesi tarehe 28 Oktoba 2014.
Continue reading
Oktoba 29, 2014
Usuluhishi baina wanahisa wa FBME na Jamhuri ya Cyprus sasa unaweza kuendelea katika katika Mahakama ya Kimataifa ya Biashara (ICC) mjini Paris baada ya FBME kukamilisja kuwasilisha kesi tarehe 28 Oktoba 2014.
Continue reading
Oktoba 27, 2014
Wanahisa wa Benki ya FBME Limited wanatoa shukran zao za dhati kwa wateja, wazabuni, wafanyakazi na wafanyabiashara wenzao kwa uvumilivu na uelewa wa hali hii iliokumba benki. Hii miezi mitatu ilivyopita na ufungwaji wa tawi la Cyprus kama ilivyo amriwa na Benki Kuu ya Cyprus. Miezi hii imekuwa migumu na imeleta madhara kwa wote.
FBME Limited itawakumbuka marafiki zake mara tu kipindi hiki kitakapoisha, ni matumaini yetu kuwa hali hii itabadilika hivi karibuni, na kabla Benki kuu ya Cyprus haijaleta madhara mengine.
Oktoba 22 2014
FBME Limited imeanza tena juhudi za kupigana ila kuweza kuzuia uuzwaji wa tawi la Cyprus uliopangwa na Benki Kuu ya Cyprus.
Kampuni hii tanzu, ilitoa tamko lake hilo siku ya kwanza (Oktoba 21) iliopangwa kusikilizwa kesi kwenye mahakama ya wilaya ya Nicosia, ambapo iliweka zuio la kutouza tawi la FBME Benki ya Cyprus. Kesi inaendelea.
Oktoba 20 2014
Tawi la Cyprus la benki ya FBME limefunguliwa leo asubuhi baada ya kurudi ofisini msimamizi wa tawi hilo ambae aliteuliwa na benki Kuu ya Cyprus. Kama tulivyo wapa habari, tawi hilo lilizuiwa na Msimamizi huyo kuendelea na shughuli zake za kawaida wiki iliopita, wakati alipokuwa anaenda likizo.
14 Oktoba 2014
Baada ya uchunguzi makini katika shughuli zake, FBME imeweza kuwasilisha majibu kwa FinCen, ofisi ya hazina Marekani, tunafahamu kuwa sasa ripoti hiyo inasomwa kwa umakini na kufikiriwa. Nakala ya maoni ya Umma ambayo iliwasilishwa pamoja ipo hapa.
Oktoba 13, 2014
DinosChristofides, Msimamizi wa tawi la FBME Cyprus, aliyeteuliwa naBenki Kuu ya Cypruschini yaAzimiolaAmri, hatakuwepo ofisini tangu Oktoba 13 hadi 20mwaka 2014,na ameacha maelekezo ya kwambahakunahundi itakayotolewakwa kipindi hiki.Kwa maneno mengine, hakuteua naibukufanyakaziyakebinafsi ya kuidhinishakila malipo.Takribani, huduma yake isiyokuwa ya kawaidaitaanzatarehe 20 Oktoba.
Oktoba 10, 2014
Maelfu ya kompyuta duniani kote wanapata tovuti ya fbmeltd.com, kama inavyoonekana kwenye takwimu za hivi karibuni za matumizi. Idadi kubwa ya watu kutoka Amerika ya Kaskazini wanaipata tovuti hii na mara kwa mara huleta mrejesho. Wengine wengi katika EU na CIS pia ni wafuasi makini, pamoja na maelfu nchini Cyprus. Kwa ujumla, tangu tovuti ilipozinduliwa mapema Agosti kumekuwa na washiriki 425,000 binafsi kwenye tovuti kutoka nchi 79.
Haieleweki kama Benki Kuu ya Cyprus imeelewa matokeo ya uamuzi wake katika kufuata na kufunga benki katika azimio lake juu ya tawi la FBME Cyprus iliotoa jioni ya tarehe 21 Julai, kama wanatambua uharibifu walioisababishia Cyprus.
Hivi karibuni waliojitokeza kuhoji ukimya uliokithiri juu ya mamlaka ya benki ni wanachama wa Upper House wa Bunge la Urusi.
Septemba 30, 2014
Tarehe 29 Septemba, Mahakama ya Wilaya ya Nicosia ilipanga maombi ya muda yaliowasilishwa na wabia wa FBME Bank kwa ajili ya kusikilizwa tarehe 21 Oktoba 2014.
Kama sehemu ya utaratibu wa maombi hayo, wanahisa wa FBME Bank Limited, waliwasilisha maombi hayo tarehe 14 Agosti 2014, ili kusaidia yatakayo kuja katika usuluhishi wa kesi mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Biashara mjini Paris, ambayo wanahisa wanaomba haki za mikataba na mwekezaji zieleweke baina ya nchi ya uwekezaji kati ya Lebanon na Cyprus iliosainiwa mwaka 2002.
Ilithibitika na kusisitizwa kuwa ahadi ya kutokutoa amri ama kuweka makubaliano ya uuzaji wa tawi baina ya Benki Kuu ya Cyprus na Mamlaka yenye Azimio, mpaka hukumu ya maombi ya mpito ipite.
Septemba 23, 2014
Uwasilishwaji wa ripoti kwa Idara ya Hazina ya FinCEN ofisi ya Washington DC Marekani unaendelea. Hii ni kwa mujibu wa kipindi cha siku 60 kilichoruhusiwa kwa ajili ya kukabiliana na ilani ya FinCEN ya kutafuta na taarifa ya mapendekezo iliyotolewa mwezi Julai.
Taarifa ya kurasa 28 kwa umma imewasilishwa kwa niaba ya Benki na wanasheria wake wa kimataifa Hogan Lovells. Nakala ya taarifa hii ni inapatikana hapa.